Viwanja vinauzwa Ihumwa, Dodoma


Tunawakaribisha katika mradi wetu wa viwanja Ihumwa Dodoma.
- Viwanja vyetu vinaanzia Sqm 600 na kuendelea.
- Bei inaanzia milioni nne la laki tano ( 4,500,000 )
- Viwanja vyote vimepimwa na vina Hati.
▫️ Mradi wetu upo jirani na barabara ya mzunguko (outer ring road )
▫️ Pia mradi upo jirani na Bandari kavu
▫️ ni km 3.5 mpaka Hospitali ya Benjamin mkapa
▫️ km 4 mpaka mji wa Magufuli city
▫️km 16 mpaka katikati ya jiji la Dodoma.
Karibu Venny construction and real estate kwa mahitaji ya viwanja.
☎️065 751 0444