Viwanja vinauzwa Ihumwa, Dodoma
MILIKI KIWANJA KUANZIA MILIONI 4 NA LAKI 5 IHUMWA
▫️ VIWANJA VINAANZIA UKUBWA SQM 600
▫️ BEI NI KUANZIA MILIONI 4 NA LAKI TANO
▫️ VIWANJA VYOTE VINA HATI
SIFA ZA ENEO
—————————
🔹 VIWANJA VIPO PEMBEZONI MWA BARABARA YA MZUNGUKO ( RING ROAD )
🔹 HUDUMA ZA KIJAMII ZIMEFIKA ( SHULE, UMEME NA BARABARA)
🔹 MWENDO WA DAKIKA 10 KUTOKA KATIKATI YA JIJI
🔹 KM 5 KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA ( UDOM )
————————-
Wasiliana nasi leo
☎️ 0657 510 444