Viwanja vinauzwa Ihumwa, Dodoma
OFA OFA YA MSIMU HUU YA FUNGA MWAKA OFA HII ITAISHA MUDA WAKWE TAREHE 20/12/2024
Luck real estate dodoma inakukaribisha katika Eneo lao la mradi mpya kabisaa wa NGHONGโONHA mradi ambao upo karibu kabisa na Hospital ya BENJAMINI MKAPA
Mradi huu una viwanja vya BIASHARA ambavyo vipo kwenye Barabara mpya kubwa ya ring road barabara ya mzunguko ya Dodoma
Viwanja vya makazi na BIASHARA vipo mt 30 kutoka ring road
Km 5 kutoka inapo jengwa BANDARI KAVU IHUMWA
Km 9 adi mji wa kiserikali MTUMBA magufuli City
Bei ya viwanja vya BIASHARA Kama HOTEL ๐จ SHELI VITUO VYA MAFUTA , GARAGE , LORRY PARKING kwa sqm 1 ni elfu 9500
Bei ya viwanja vya makazi na BIASHARA kwa sqm 1 ni elfu 5500,gharama hizi ni pamoja na uandaaji wa hati
Umbali wa kutoka mjini Kati adi kwenye mradi ni km 15
Mradi Upo Karibu na HOSPITAL YA DCMC Lakini mradi huu pia upo karibu kabisa na ntyuka (Mradi wa viwanja VYETU kwenye eneo la mwinuko ) hivyo ukiwa katika mradi huu wa NGHONGโONHA utaiona Dodoma nzima kwa uzuri zaidi
Eneo la mradi lipo karibu kabisa na Barabara mpya ya lami ya ntyuka
Kwa mawasiliano zaidi tembelea ofisi zetu zilizopo Dodoma mjini mtaa wa uhindini mkabala na wizara ya ujenzi na uchukuzi
Au tupigie kupitia simu namba
0745200984
0747999997
Na tufatilie katika mitanda yetu ya kijamii
Instagram
Facebook
Karibu tuijenge dodoma karibu luck real eastate