Viwanja vinauzwa Iyumbu, Dodoma
🏡🔆KIWANJA KIZURI KINAUZWA ENEO LA IYUMBU EXTENSION DODOMA
🏡🔆UKUBWA WA ENEO NI SQM 3794
KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI MILIKI YA MIAKA 99
BEI YA kila Sqm 1= tsh 25000 tuu wahi kiwanja hiki kizuri na chenye ukubwa wa kutosha kwa matumizi ya makazi AU BIASHARA
🏡🔆KWA FAIDA YA WENGI IFAHAMU IYUMBU DODOMA KWA KIFUPI !!
🟢1️⃣IYUMBU NI UMBALI KM 12 TUU KUTOKA MJINI KATI
🟢2️⃣IYUMBU NI MOJA YA ENEO LINALO KUWA KWA KASI SANA NDANI YA JIJI LA DODOMA
🟢3️⃣ARDHI YAKE NI TAMBARARE PIA NI ARDHI ISIO JAA MAJI
UZURI WA ENEO HILI LA IYUMBU
🟢1️⃣ NI ENEO LA JUU YANİ ENEO LA MLIMANI HIVYO UTAPATA NAFASI YA KUPATA HEWA SAFI PAMOJA NA MUONEKANO MZURI WA KUIONA DODOMA KWA CHINI
🟢2️⃣HAPANA KUNA ENEO LA MAKAZI YANI IYUMBU WEST
IYUNBU EXTANSON
IYUMBU NOTH
NK
🟢KUNA ENEO MAALUMU KWAJILI YA UWEKEZAJ YANİ IYUMBU NEW TOWN CENTER
IYUMBU SATELLITE CENTER
ENEO HILI LIPO KARIBU NA MAENEO MAKUU KUMI NA TATU NA ZAIDI
🟢1️⃣KISASA MWÀNGAZA
🟢2️⃣NJEDENGWA INVESTMENT
🟢3️⃣IHUMWA
🟢4️⃣STENDI KUU YA MABASI 88
🟢5️⃣SOKO KUU LA NDUGAI
🟢6️⃣BANDARI KAVU IHUMWA
🟢7️⃣CHUO KIKUU CHA UDOM
🟢8️⃣HOSPITAL YA BENJAMINI MKAPA
🟢9️⃣UWANJA MPYA WA MPIRA 88
🟢🔟OYSTERBAY MAKULÜ
🟢1️⃣1️⃣JENGO LA UCHAGUZI
🟢1️⃣2️⃣JENGO LA ROADS FUND BOARD YANİ BODI YA MFUKO WA BARABARA
NK 🏡
LAKINI PIA NI MOJA YA ENEO LINALO FIKIKA KIRAHISI NA KUTOKA KIRAHISI
KOTE HUKU TUNA VIWANJA VYA KWAJILI YA MATUMIZI YOTE YANJ MAKAZI NA BIASHARA
HAPA KUNA FURSA NYUNGI SANA
🟢1️⃣APARTMENTS
🟢2️⃣HOTELI
🟢3️⃣VITUO VYA MAFUTA
🟢4️⃣ SHULE
🟢5️⃣MADUKA
NK
HIZI NI SIFA CHACHE SANA ZA ENEO HILI LA IYUMBU DODOMA TUNAKUKARIBISHA KWAJILI YA KUWEKEZA AU KWAJILI YA MAKAZI