Viwanja vinauzwa Iyumbu, Dodoma


VIWANJA VYA KUJIOKOTEA DODOMA MAENEO YAFUATAYO👇👇👇👇
IYUMBU NORTH SQUARE METER 306 KINAUZWA MILION 4 NA LAKI 3 ( KINA HATI) , SQUARE METER 400 KINAUZWA MILIONI 6 NA LAKI 2.
NDACHI MNADANI SQUARE METER 665 KINAUZWA MILION 5 NA LAKI 3
MJI WA MAGUFULI KUNA VIWANJA VYA KWANZA LAMI VINATAZAMANA NA WIZARA YA FEDHA NA WIZARA YA MALI ASILI NA UTALII KUNA SQUARE METER 926 NA 793 BEI NI MILION 42 KILA KIWANJA. PANAFAA KWA UWEKEZAJI WOWOTE
NZUGUNI PEMBENI YA STAND YA NANE NANE, NYUMA YA SHELI YA ATN , KIWANJA NI CHA PILI LAMI YA MAIN ROAD NA LAMI YA NZUGUNI . PANAFAA KWA KUJENGA LODGE, SHOPPING CENTER, NA UWEKEZAJI WOWOTE UNAKULIPA HAPA. SQUARE METER 598 KINAUZWA MILION 73. PANA HATI
UTAKACHOKIPENDA KIWAHI HAVIKAI HIVI NI CAKE SANA
NIPIGIE 0745649969