Viwanja vinauzwa Iyumbu, Dodoma


Tunakukaribisha kumiliki viwanja vya makazi na biashara Iyumbu - Dodoma.
✅ Viwanja vimepimwa na hati inatoka kwa jina lako
✅ Viwanja vipo jirani na shule ya Dr. Samia
✅ Km 3 kutoka chuo cha UDOM mpaka eneo la mradi
✅Huduma zimefika (Maji, Umeme na barabara za lami)
__________
BEI
◽️Kwa malipo ya Installment kwa Sqm 1 ni sh 37,000
◽️Kwa malipo ya cash kwa Sqm 1 ni sh 35,000
__________
Unaweza kulipa kidogo ndani ya miezi mitatu na ukakabidhiwa kiwanja chako.
__________
Wasiliana nasi leo: 0657 510 444


















