Viwanja vinauzwa Kerege, Pwani
KEREGE - Bagamoyo
Kerege Kwa Kiwete
Kutoka umbali wa mita 800 kutoka barabara kuu ya Bagamoyo hapo tuna mradi mzuri wa viwanja.
VIWANJA vinaanzia sqm 500 na kuendelea.
Bei ni mserereko:
Sqm 1 ni 18,000 kwa malipo ya CASH.
Sqm 1 ni 20,000 kwa malipo ya awamu; Kwa muda wa miezi 6.
Wasiliana nasi; 0755 029 771
Tutembelee: www.perfectproperty.co.tz
Fika ofisini kwetu Bamaga- Mwenge, Jengo la Dora , ghorofa ya 4.