Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


📍KIBAHA PANGANI phase 3 iko hapaaa my people
SIFA ZA MRADI
📌Viwanja vyote vimepimwa na viko approved na wizara
📌Upo 3km kutoka Morogoro road
📌Upo 1.5km kutoka lami inayounganisha Kibaha na Bagamoyo
📌Sqm 600- 1730 na unaweza kuunganisha ukapata ukubwa uutakao
💎Malipo ni cash na kwa awamu
Cash: 15,000/sqm
Awamu : 17,000/ sqm
💎Huduma zite za kijamii zimefika
💎Neighborhood ya kibabe
💎Site visit ni kila siku
☎️0659540265 / 0719354943
📍Tunapatikana jengo la IPS, gorofa ya 5, Posta