Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


KIBAHA BOKO MNEMELA PROJECT
Mradi Upo: Wiliya Ya Kibaha MJINI
Eneo La Mradi: Boko Mnemela
Bei: SQM 1 = Tsh. 20,000/=
Muda wa Malipo: Miezi 36.
Umbali: Km 9 kutoka Barabara Kuu ya Morogoro na
Km 8 Kutoka Hospitali ya Rufaa Tumbi.
Viwanja vinaanzia SQM 349 nakuendelea Hadi SQM 2,000.
Uzuri wa Akiba Properties company Ltd Ukishalipa Rejesho la Kwanza tu.
1. Utaruhusiwa kuendeleza kiwanja
2. Hati Miliki ni Bureee (ukimaliza malipo kwa asilimia 100%).
3.Unapata mkataba wa mauziano.
4.Unapata EFD Receipt na pia
5. Usafiri ni Bureee
Huduma Za Kijamii
i). Maji na Umeme
ii). Hospitali na Shule
iii) Masoko Na muradı Mikubwa ya Nyumba za kısasa.
Wasiliana Nasi : 0699 117 035 ,0699 117 036 na +255 69 911 7040
Karibu Ofisini
📍Mwenge Bamaga- Dora Tower ( Ghorofa ya nne ).