Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Viwanja vya makazi na Biashara kibaha
MAHALI.
Viwanja vinapimwa NGETA KIBAHA
UKUBWA
👉viwanja vimepimwa kuanzia sqm 400+, 500+, 600+, 700+ Na 1000+
THAMANI YAKE
👉 Kwa bei ya PUNGUZO ni Sqm Tshs 4500/=
YAANI TSHS 1,800,000/= unapata kiwanja cha sqm 400.
👉 Lipa kidogo kidogo Anza na 90,000/= ukilipia kwa miezi 20
PATA PUNGUZO LA 10% UKILIPIA CASH. YAANI Tshs 1,620,000/= Badala ya Tshs 1,800,000/=
UMBALI
👉 Kutoka barabara ya Morogoro ni Km 10 tu
👉 kutoka Treni ya Mwendo kasi ni km 2 tu
HUDUMA ZA KIJAMII ZIPO
👉 Shule, Maji na umeme viko karibu na mradi
👉 Majirani wapo Wakiwepo Chuo cha TEKU
Mazingira ni mazuri kwa kuishi, Wahi sehemu za kibiashara
👉Huku ujenzi ni Nafuu Maji yapo kokoto zipo pia.
KUFIKA SITE
🔥site visit ni kila Jumamosi na safari inaanzia ofisini kwetu sinza kivulini kupitia barabara ya Morogoro saa mbili asubuhi.
Utachangia Tshs 10,000/= tu ya Nauli
TUPIGIE SIMU
☎+255683273159
Karibuni sana
TUNA FUNGA MWAKA NA KIWANJA KIBAHA NGETA
#kibaha #viwanjadar #viwanjakibaha #wekezakibaha #viwanjavyamakazi #sgrtanzania #ngeta #adingeta #ujenzi #eatvujenzi #diamondplatnumz #harmonize #makazibora #viwanjavilivyopimwasew