Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
Morogoro Road
📍KIBAHA - PICHA YA NDEGE.
Sifa za mradi.
-Mita 150 kutokea barabara kuu.
-dakika 2 kufika mpaka stand ya bus.
-Mradi umezungukwa na makazi ya WATU.
-upo Nyuma ya shule ya LULANZI.
-umeme upo
-Maji ya dawasco
-Ardhi tambarare.
Unafaa kwa makazi na biashara.
-Umepimwa na Tunakupatia Hati miliki ya wizara.
Gharama kwa malipo ya Cash tu.
Sqm 1=20,000/=
Unataka Mji karibu na Jiji.
Njoo ujichagulie kwaniii
Ukubwa wa viwanja sqm 578 Hadi sqm 30,000 zipooo.
Viwanja vikubwa na vidogo..
Uwanja ni wako kuwa sehemu ya wawekezaji pamoja na found__properties
Kwa maelezo zaidi Nipigie +255767509509.
OFISI ipo Jengo LA Dora tower,
Ghorofa ya 4,Bamaga-Mwenge Dsm
#diaspora #remax #𝘃𝗶𝘄𝗮𝗻𝗷𝗮𝘃𝘆𝗮𝗺𝗮𝗸𝗮𝘇𝗶 #china #𝗺𝗮𝘄𝗲𝘆𝗮𝘄𝗶𝘇𝗮𝗿𝗮 #viwanda #makazi #kibaha #beipoa #vunjabei #uk #love #trending #trendingreels #investment #tanzania #southafrica #turkey