Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Viwanja hivi vipo km1.2 toka Morogoro Road, Mahali ni Kibaha Visiga,Miwaleni....
Bei ni shilingi 11,000/= kwa square meter! Unaweza kulipa kidogo kidogo ndani ya miezi 10
Malipo ya awali ili uweze kusaini Mkataba wa Kiwanja chako ni shilingi 1,000,000/=
Sikiliza, maliza mwaka na Kiwanja kilichopimwa kutoka kwa wataaalam wa hizi kazi za upimaji na urasimishaji wa makazi Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani.
Tunapatikana Kibaha Misugusugu
0659 972 868
0763 172 814
Usipange kukosa Kiwanja.