Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


MRADI WA VIWANJAA VILIVYOPIMWA KIBAHA VISIGA, MIWALENI.
📌Mita 700 kutoka Morogoro Road.
Sqm 1 ni Tsh 15,000/=
●Mfano
kiwanja cha Sqm 400 (Mita 20 kwa 20) bei yake ni Tsh Milioni 6.
●Unaweza kuilipa Cash au Kidogo kidogo ndani ya Mwaka ila utaanza na Nusu (1/2)
📌Viwanja vipo karibu kabisa na makazi ya watu na huduma zote muhimu zinapatikana, kama vile umeme, maji n.k
📌Ukimaliza malipo unapata Hati Miliki kutoka Wizara ya Ardhi.
Piga Simu au Whatsapp
0745559598