Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Habari nzuri kwa watanzania wote wanaopenda kumiliki Ardhi iliyopimwa,hapa Panaitwa Kibaha Visiga Seminary! Kilomita 1.8 toka Morogoro Road unaweza kujipatia viwanja hivi kwa bei ya shilingi 12,000/= tu kwa square meter.
Hapa ni nyuma kidogo ya Seminary Juniors! Wakatoliki mnaita wakaka wadogo..... AYA TWENDE KAZI.
Ukubwa wa Viwanja hapa ni kuanzia 400m² hadi 800m²
Malipo ya Awali: 1,000,000/=
Kiasi kilichobaki kinalipwa kidogo kidogo ndani ya miezi kumi(10)
Mawasiliano 0659 972 868 au 0763 172 814
Ofisini: Kibaha Misugusugu
Usipange kukosa kiwanja