Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 4,000,000
Project
Yes

FUNGA KAZI HII,BEI KITONGA!

Sifa za maeneo haya! Kwanza kuna mahitaji yote ambayo binadam anaitaji aweze kuishi kuanzia Maji,umeme! Barabara nzuri sana

Pili kumejengeka sana,yani wachina wamepaendeleza sana,ukiwa unakuja site utatembea zaidi ya mita 400 za ukuta uliojengwa kwa kiwango cha hali juu,huku mkono wako wa kushoto utaona nyumba nzunzuri zenye uzio maridadi sana,bila shaka zitakupa hamu ya kutaka kujenga nyumba nzuri mara ukiweza kumiliki Kiwanja maeneo haya.

Shule ipo sio mbali,inaitwa Saeni! Yaani imebeba jina la mtaa wetu,viwanja ni Tambarare na ukifika utatamani kuchukua plots kuliko uwezo wako wa kulipia! Hii ina maana kwamba panavutia na panaita wakazi wapya waje kuishi...

Bei yake imekaa kizalendo sana,eti panauzwa shilingi 10,000/= tu kwa square meter! Najua wengi hamjui maana ya square meter! Haya njoo hapa! Ukisema square meter moja ni sawa na kusema mita moja upana x mita moja urefu hapo ni issue za hesabu za kutafuta Area..

Njoo kwenye mfano Hai hapa,kiwanja chenye miguu 20 kwa 20 au kitaaalam mita 20 x 20 yaani 400m² ni shilingi 4,000,000/=

Malipo ya awali: 1,000,000/=
Kiasi kilichobaki kinalipwa kidogo kidogo ndani ya miezi 10! Yaani 300,000/= kila mwezi.

Sisi tunasaidia tu watu wapate viwanja,wengine wanauza! Njoo tukuwezeshe ujipatie eneo kwa bei nafuu! Tuishi kwetu!

Simu: 0659 972 868 au 0763 172 814
Ofisini: Kibaha Misugusugu

Cananland Marketing Solutions
dar_kubwa_remmysbrand
Cananland Marketing Solutions

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 7,000,000

HIVI VIMEANZIA BARABARANI KABISAAAA HAPA NI KIBAHA KWA MATHIAS BEI YA VIWANJA NI MILION 7 KWA UKUBWA...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

MRADI MPYA - KIBAHA VISIGA 📞📞 0767053517◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROAD)◻️ U...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 45,000,000

.. NYUMBA INAUZWA KIBAHA MLANDIZI Ina Vyumba Vitatu vya Kulala viwili master bedrooms sebule jiko ...

Nyumba inapangishwa Kibaha, Pwani

Sh. 550,000

NYUMBA INAPANGISHWAIPO KIBAHA PICHA YA NDEGESIFA ZA NYUMBAVYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJA MASTER SITTING...

Nyumba inapangishwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 550,000

NYUMBA INAPANGISHWAIPO KIBAHA PICHA YA NDEGESIFA ZA NYUMBAVYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJA MASTER SITTING...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 2,200,000

OFA‼️ OFAA‼️ OFAAA!! HII SASA KILA MMOJA APATE.LOCATION KIBAHA KWA MATIASI USAFIRI WA UHAKIKA PIKI P...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 2,200,000

OFA‼️ OFAA‼️ OFAAA!! HII SASA KILA MMOJA APATE.LOCATION KIBAHA KWA MATIASI USAFIRI WA UHAKIKA PIKI P...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 2,200,000

OFA‼️ OFAA‼️ OFAAA!! HII SASA KILA MMOJA APATE.LOCATION KIBAHA KWA MATIASI USAFIRI WA UHAKIKA PIKI P...

Shamba linauzwa Kibaha, Pwani
  • Agriculture

Sh. 50,000

Shamba la ekari moja na nusu linauzwa Kibaha-Pwani. Lina mabanda matatu, nyumba za kuishi 2, stoo ku...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kibaha, Pwani

Sh. 170,000

NYUMBA MPYAA NZURI SANA INAPANGISHWA KIBAHA KONGOWE KODI 170K TU.==========🔻 CHUMBA KIMOJA MASTER C...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kibaha, Pwani

Sh. 150,000

NYUMBA STAND ALONE VYUMBA VIWILI VYA KULALA INAPANGISHWA KIBAHA KWA MATHIAS KODI 150K TU.==========�...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

MRADI WA VIWANJA - KIBAHA VISIGA 📞📞 0767053517◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROA...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 15,000 per sqm

VIKAWE IKO WAPI???📍Ipo katikati ya Kibaha Pangani na Bagamoyo (Baobab)📍Ukitokea Bagamoyo road, ni ...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 60,000,000

KIWANJA KIZURI SANA TAMBARARE KIMEPIMWA NA KINA HATI SQM 1355 KINAUZWA KIBAHA MJINI.==========✍️ KIW...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 2,000,000

VIWANJA! VIWANJAA!! VIWANJAAA!!! VIZURI TAMBARALE UMBALI WA KM 3 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI PIKI P...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 5,000,000

MRADI MPYA WA VIWANJA KIBAHAPICHA YA NDEGE KARIBU NA HOSPITALYA WILAYA YA LULANZI TSH 5M TU.========...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 20,000

.𝑼𝑵𝑨𝑯𝑰𝑻𝑨𝑱𝑰 𝑲𝑰𝑾𝑨𝑵𝑱𝑨 KIBAHA MILE MOJA (𝑷𝒂𝒏𝒈𝒂𝒏𝒊)?✅ Jipatie kiwanja Bora cha maka...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 20,000

.𝑼𝑵𝑨𝑯𝑰𝑻𝑨𝑱𝑰 𝑲𝑰𝑾𝑨𝑵𝑱𝑨 KIBAHA MILE MOJA (𝑷𝒂𝒏𝒈𝒂𝒏𝒊)?✅ Jipatie kiwanja Bora cha maka...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 20,000

.𝑼𝑵𝑨𝑯𝑰𝑻𝑨𝑱𝑰 𝑲𝑰𝑾𝑨𝑵𝑱𝑨 KIBAHA MILE MOJA (𝑷𝒂𝒏𝒈𝒂𝒏𝒊)?✅ Jipatie kiwanja Bora cha maka...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 65,000,000

NYUMBA INAUZWA KIBAHA PICHA YA NDEGE 3BEDROOMSITTING ROOM&DINNINGKITCHENPUBLIC TOILETAREA SIZE SQM...