Viwanja vinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


Viwanja! Viwanja! 
Ndugu zanguni,
Ninawaletea viwanja vizuri Kabisa, viwanja vipo eneo la Hondogo, Kata ya Kibamba, Wilaya ya Ubungo Mkoa wa Dar es Salaam.
Ukubwa wa viwanja na Bei;
 Smt 400-450  @ 16,500,000 Tsh
Smt 630 @ 26,000,000 Tsh.
Piga simu sasa: 0762  180  122
kibaha2024
#viwanja




















