Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
SITE VISITING MRADI WA KIGAMBONI TUNDWI SONGANI 🔥🔥
Baadi ya wateja wetu waliotembelea mradi wetu pale Tundwi songani Kigamboni . Umbali kutoka Darajani mpaka Kwenye site ni 42KM
UTARATIBU WA MALIPO
Kwa njia ya cash sqm 1 = 6000 Tsh
Kwa mkopo wa miezi 6 sqm 1= 7000 Tsh
Kwa mkopo wa miezi 12 sqm 1= 8000 Tsh Baada ya kumaliza malipo HATI MILIKI NI BURE ndani ya mwezi mmoja
SIKU ZA KWENDA SITE
Jumatano na Jumamosi , makutano ni ofisini kuanzia saa 8:30 Asubuhi kuondoka saa 9:00 , Usafiri ni Bure kwenda na kurudi
Karibuni sana lapexproperties kwa uwekezaji bora
#lapexproperties #viwanja #hati #hatimiliki #nyumba #mashamba