Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Viwanja vya BEACH - Second Beach yaani vipo MITA 200 tu kutoka BAHARINI.
ENEO ni RAS BAMBA ,Kigamboni ,Dar Es Salaam jirani kabisa na RAS BAMBA ECO LODGE.
VIWANJA vipo umbali wa 17 km kutoka FERRY na 2.5km kutoka Barabara ya LAMI inayokwenda CHEKA.
BEI ni sawa na BUREE
Sqm 1 ni Tsh. 40,000 kwa malipo ya CASH
Sqm 1 ni Tsh. 45,000 kwa awamu mpaka miezi 6.
Ukubwa wa Viwanja vinaanzia sqm 762 mpaka sqm 2015
Call/Watsapp: 0626783900 / 0768579000
Tembelea ofisini kwetu: Bamaga - Mwenge ,Dora Tower, Ghorofa ya 4.