Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,800,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

🧑‍🎄 OFA 🧑‍🎄 OFA 🧑‍🎄 OFA KABAMBE MSIMU WA SIKUKUU 🧑‍🎄

🧑‍🎄 VIWANJA VILIVYOPIMWA KIGAMBONI MWASONGA

🧑‍🎄BEI KWANZIA MILLION 1.8 ANZA %50 NYINGINE LIPA KIDOGO KIDOGO

MIRADI YETU NI.
🌹KIGAMBONI
MWASONGA
CHEKA
KIBUGUMO
MWEMBE MDOGO
KIBADA
SHANGWE
KONGOWE MZINGA YA MBAGALA
VIANZI
VIKINDU

🧑‍🎄KWENDA SAIT KILA SIKU MUDA WAKO MTEJA KUANZIA SAA 2 ASUBUI ADI SAA 11 JIONI

🌹UJUMBE

TANGAZO LA VIWANJA UMELIONA AU UMELISIKIA?

📌JITAHIDI UPATE MUDA UKAONE KWANZA.
KAMA NI MBALI AU KAMA NI SHAMBA .
USIJE UKALAUMU KOCHA MBAYA WAKATI KIPA NDIO MTU WA MWISHO

📌 KUMBUKA KUWEKA AKIBA YA MANENO,AKIBA YA PESA ,AKIBA YA NYUMBA,AKIBA YA KIWANJA,

📌KUMBUKA NYUMBANI KWAKO HUWA SIO MBALI

📌 WAZEE WA MIAKA 1970 HADI 2000.... WALIKOSA ARDHI KWA MAWAZO HAYA?

✍️ KARIAKOO - MBALI
✍️ILALA. - KUNA MBIGIRI
✍️MWANANYAMALA - KUNA SIMBA
✍️ MANZESE - KUNA WAHUNI
✍️ SINZA TABATA - BONDE LA MPUNGA
✍️MBAGALA - SHAMBA
✍️ KIBUGUMO - PORINI HUKO NANI AKAE
✍️ MASAKI/ MIKOCHENI - BONDE LA MPUNGA
✍️ KWA AZIZI ALLY - KUNA UWANJA WA NDEGE

✍️SASA JIULIZE HAYO MAENEO LEO HAWAYATAMANI?
?? JE WAWEZA KUYANUNUA AYO MAENEO KWA SASA?

🧑‍🎄 CHUMBA KIMOJA SAWA NA TOFALI 400 SAWA NA TSH 400,000/= VYUMBA VITATU SAWA NA TOFALI 1,000 SAWA NA TSH 1,000,000/= SAWA NA MIFUKO 17 YA SIMENT.

📌UTAPANGA MPAKA LINI??? 🥺🥺 KARIBU NIKUSHAURI 🙏

#-----------------------------------------------------#
KWAAWASILIANO ZAIDI

📞 0687-348769 piga ✍️🙏🙏🙏

Similar items by location

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT ZINAPANGISHWA MPYA ZIPO 4 TU JUU NACHINI SIFA ZAKE CHUMBA MASTER BEDROOM SITING ROOM NAJI...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, DARAJANI 》Nyumba ina VYUMBA VIWILI KIMOJ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KIBADA 》Nyumba ina CHUMBA KIMOJA MASTER...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, DARAJANI 》Nyumba ina VYUMBA VIWILI KI...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

*One storey Beach House for sale at Kigamboni, Magogoni*-It has six bedrooms all en-suite, sitting r...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

*One storey Beach House for sale at Kigamboni, Magogoni*-It has six bedrooms all en-suite, sitting r...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 17,000 per day

MRADI MPYA WA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO 0767053517👉🏽Viwanja vimepimwa na vina bacon zi...

Sh. 50,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI RAS BAMBA ECO LODGE (BEACH PLOTS)📞📞0767053517 ◻️Umbali ni km 17 toka ferry◻...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

VYUMBA VITATU VYA KULALA SITTING ROOM NAJIKO FULL AC FULL MAKABATI FULL TILES APARTMENT ZINAPANGIS...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

*Nyumba inauzwa Tuangoma, Kigamboni**Distance* Nyumba ipo mita 70 tu kutoka barabarani kubwa-Nyumba ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

Kiwanja kinatizama main road Kinauzwa Kigamboni Mji Mwema Maweni■Ukubwa wa Kiwanja ni 400sqmt■Bei 55...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

PLOT YA BARABARANI INAUZWA KIGAMBONI MJIMWEMA bei milioni 1200713672719📱0767672719Plot ipo mjimwema...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 2,400,000

BISMILLAH 🌺 VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI MWASONGA BEI 2,400,000/=HUDUMA ZA KIJAMII ZOTE ZIPO UMBALI ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

INAPANGISHWA KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KISIWAN 》Nyumba ina CHUMBA ...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

*Nyumba inauzwa Tuangoma, Kigamboni**Distance* Nyumba ipo mita 70 tu kutoka barabarani kubwa-Nyumba ...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 480,000,000

🏘️ Miliki Mradi wa Apartment 14 Kigamboni kwa Mpigo Mmoja!🚨 Fursa ya kipekee ya kuingiza mamilioni...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 10,000 per sqm

🔥STAY TUNED KWA UZINDUZI RASMI – VIWANJA MWASONGA, KIGAMBONI🔥“We make investment easy and affordab...