Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


MRADI MPYA๐ฅ๐ฅ๐ฅ
VIWANJA VINAUZWA;
Viwanja vipo KIGAMBONI- MBUTU
๐ฏJirani na kabisa na makazi ya watu
๐ฏ3 km kutoka barabara ya lami.
๐ฏkm 25 kutoka Kigamboni Ferry
๐ฏHuduma zote za kijamii zipo
๐Viwanja vimeshapimwa
Sqm 1 = Tsh 22,000/=
Mfano; Sqm 700 ni Tsh 15,400,000/=
Lakini pia unaweza kulipa kidogo kidogo kwa kuanza 50% na nyingine ukamalizia ndani ya miezi mitatu (3).
โ
Hivi sio vya kukosa ๐ค
Karibu uwekeze KIGAMBONI - MBUTU, kwa maisha ya sasa na Baadae ๐
Tupigie;
0786 483 603
0628 619 674