Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI GEZAULOLE NYUMA YA HOSPITALI YA WILAYA .
Kwa wale wote wanaopenda kuishi mitaa ya kishua, mitaa iliyopangwa na kupimwa vizuri. Tumekusogezea kiwanja bora kabisa
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1300 bei ni Tsh 58m tu pamoja hati miliki.
Kupelekwa site ni bure kabisa muda na siku yoyote karibuni sana lapexproperties
#lapexproperties #viwanja #mashamba #nyumba #ardhi #hatimiliki