Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


🏝️🏖️ PERFECT BEACH PLOTS 🏖️🏝️
MRADI MPYA WA VIWANJA NAFUU VYA BEACH – KIGAMBONI, RAS BAMBA
Je, unatafuta kiwanja cha ufukweni kwa uwekezaji au mapumziko? Hiki ndicho chaguo sahihi 🌊✨
📍 Mahali: Kigamboni – Ras Bamba
🏖️ Karibu na Ras Bamba Eco Lodge (Beach)
🌊 Umbali wa mita 200 tu kutoka baharini
🚤 Km 17 kutoka Ferry
🛣️ Km 2.5 kutoka lami
💰 Bei za Viwanja:
▪️ Tsh 40,000/= kwa sqm (Cash)
▪️ Tsh 45,000/= kwa sqm (Installment)
▪️ Malipo ya awamu hadi miezi 6
📐 Ukubwa wa Viwanja:
▪️ Kuanzia 762 sqm hadi 2,015 sqm
📄 Umiliki:
✔️ Viwanja vyote vimepimwa
✔️ Kila mteja anapata HATI HALALI ya Wizara
📞 Mawasiliano Zaidi:
Call / WhatsApp: +255 626 783 900
🏢 Perfect Property Co. Ltd
Mwenge – Bamaga
Dora Tower, Ghorofa ya 4



















