Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Jipatie kiwanja Kigamboni Bamba (Beach plot)
Sifa za mradi huu:
⚪️ Viwanja vimepimwa na vinatambulika na wizara husika ya Ardhi, nyumba na maendeleo ya jamii.
⚪️Huduma zote za kijamii zipo katika mradi huu mfano: Maji,Umeme,Barabara na Hospitali.
⚪️Viwanja vinaukubwa kuanzia SQM 800-1000.
⚪️Umbali kutokea Kigamboni Ferry mpaka kwenye mradi ni Km 18 na kutokea Darajani ni Km 15.
⚪️ Bei ya SQM 1 ni elfu 45,000/= Tsh.
☎️ 0750 177 085
📍Ofisi zetu zipo Kigamboni kijaruba opposite na shule ya msingi ya maweni.
#kigamboniviwanja #kigambonimpya #kigambonibamba #beachplots #beach #viwanja