Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
mwengwa_real_estate, viwanja kigamboni na Pwani. Katika kuelekea mwisho wa mwaka hatutakia kupoa kwa kujifungia maofisini. Tunaishukuru Mwenyezi Mungu kwa afya kubwa hii ambayo tunaelea kupigania upatikanaji wa viwanja vizuri. Myeja wetu ukitutafuta basi amini moja ya ndoto nzuri utakayoipa ni kutuamini mwengwa_real_estate. Vision yetu ni kujenga Taasisi imara na yenye kukubarika ktk jamii yetu na Serikali.
#Moja ya Viwanja vilivyopitishwa ktk Ofisi yetu ni hiki. Kiwanja hakina changamoto ya kukufanya mteja wetu ujutie kukinunua. Kiwanja ni cha pili kutokea barabara kubwa ya Mtaa ambayo itaimalishwa na Serikali yetu.
#Kiwanja kina hati,iliyotolewa mwa 2014.
#BEI YA KIWANJA HIKI NI 45Milioni
Umbali toka rami ni 2km.
#HUDUMA MUHIMU ZINAJIELEZA.
#KARIBU UKAJIONE MADHARI.