Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Mradi mzuri kigamboni dege ( ECO VILLAGE)
✅Mradi unapakana na magorofa ya NSSF ambayo
hayajakamilika.
✅umbali kutoka barabara ya lami ni mita 800 tu
✅Ujirani ni mzuri sana maana tayari Kuna makazi ya watu.
✅Bei ni sh 20,000/=tu kwa SQM 1 cash na kwa installment ni sh 22,000/= SQM 1 (awamu)
ukubwa wa viwanja ni kuanzia 600SQM na
kuendelea.
✅huduma za kijamii kama maji na umeme
zinapatikana kwenye Mradi.
Kampuni itakusaidia kufatilia HATI MILIKI mara
baada ya kukamilisha malipo.
✅Miradi mingine
kigamboni mwongozo ras bamba beach plot
kigamboni mwembe mdogo
kibaha Boko mnemela
Kibaha visiga
Bagamoyo kerege
Bagamoyo makurunge
Kwa masiliano:call/WhatsApp
0785582280