Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


*VIWANJA VYA MAKAZI KIGAMBONI BUYUNI*
๐นkm 49 Toka ferry
๐นkm 2 Toka barabara kuu
๐นkm 3 Toka buyuni center
๐นMita 500 Toka nguzo za umeme
๐นMita 900 Toka shule ya msingi buyuni
๐น viwanja vyote ni tambarare
๐นViwanja vimepimwa kuanzia sqm 500 nk
๐นmalipo kidogo kidogo adi miezi 20
๐นsqm moja 10,000 tu
๐นAnza na 250,000 tu
Mchanganuo wa malipo Kila mwezi Kwa miezi 20 kulingana na ukubwa wa kiwanja
Sqm 500= 250000 Kila mwezi
Sam 600= 300000 Kila mwezi
Sqm 700= 350000 Kila mwezi
Sqm 800= 400000 Kila mwezi
Sqm 900= 450000 Kila mwezi
Sqm 1000=500000 kil mwezi
Siku za kuona viwanja vyote ni jumatano jumamosi na jumapili
Ofisi zetu zipo makumbusho jengo la MWANGA TOWER FLOOR YA 13 KARIBUNI SANA TUPIGIE AU WHATSAPP
+255692833224
Nb: kumbuka viwanja vya bei rahisi VINAISHA Kwa haraka. Ujanja kuwai