Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
KWANINI UCHAGUE VIWANJA VYETU VYA KIGAMBONI MBUTU KICHANGANI ? Kwa sababu ya Miundombinu Bora, Bei nafuu, Upepo mzuri toka baharini, kwani ni mita 900 tu kufika baharini, Ni sehemu ambayo tayari imezungukwa na nyumba za kisasa, unanunua na kujenga hapo hapo, Ardhi yake tambarare, Huduma Kama Maji, Umeme, shule, hospital zipo na Usafiri Kama bajaji upo mpaka kwenye mradi.
Karibu sana kuwa sehemu ya jamii inayojenga kesho yake leo! 🏡 Nafasi yako ya Kujenga ndoto zako IKO HAPA!! NUNUA KIWANJA CHAKO LEO.
Bei zetu zinaanzia MILIONI 3.5 na Kuendelea. Ukubwa wa Viwanja Unaanzia Sqm 200 mpaka 2000. Ukubwa wowote wa Kiwanja unachotaka unapata kutegemea na Bajeti yako. Kwani tupo kwa ajili ya kukamilisha ndoto zako za kumiliki kiwanja Cha makazi Bora.
Unaweza kutupigia leo Kwa namba 0711677199/0744847199.