Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
MLIOKOSA AWAM YA KWANZA HAYA KAZI KWENU. Hii ni awam ya pili ya Mradi wetu wa KIGAMBONI DEGE MBUTU KICHANGANI.
👉Bei inaanzia Milion 3 Tu Kwa malipo ya Cash na Milion 4 Kwa malipo ya awam ndani ya miezi 3. Viwanja viko Upande wa BAHARI, Km 1 kufika baharini. Km 18 kutoka Ferry, Km 17 kupitia Darajani.
👉Ni pazurii Sana, Viwanja vimezungukwa na mji tayari. Huduma zote za kijamii zipo, Umeme upo, maji, Shule (Serikali & private)Vituo vya Afya, Nyumba za Ibada (Misikiti & Makanisa) n.k
👉Ukubwa Viwanja unaanzia Sqm 230 mpaka Sqm 1500!! Ukubwa Sqm 230 Bei ni Milion 3 Kwa malipo ya Cash na Milion 4 Kwa malipo ya kidogo kidogo.
Sqm 400 Bei ni Milion 6 na Kwa awam ni Milion 8
Sqm 600 Bei ni Milion 9 na Kwa awam ni Milion 11 na kuendelea, Ndugu Mteja ukubwa wowote unataka utapata.
🤝Ni sisi pekee, tupo tayari kuhakikisha una tabasamu, ni wakati wako sasa wa kufanya maamuzi kamili. Furaha ya familia yako itakamilika kwa makazi yaliyo salama na sahihi katika ujenzi wako. Wote mnakaribishwa. 📞0711677199\/0744847199 Kwa Kutufikia.