Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Jamani jamani! 🔥
Mradi mpya umefunguliwa rasmi — Kigamboni Dege.
Viwanja vipo kwenye ramani ya mipango miji, vimepimwa na bei ni 35,000/= kwa sqm.
Hii si stori ya mtaani, ni uwekezaji halali.
Njoo site ujionee kabla havijaisha.
OneRoof — tunaanza na ramani, tunamaliza na hati.
0653988825



















