Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
UPDATED MAP!!! UPDATED MAP!!! ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ช๐ช๐ช๐ชNEW PROJECT/ MRADI MPYA KABISA;
๐KIGAMBONI MWEMBE MDOGO
๐SQM 1 NI TSH 20,000/=
Mradi upo kilomita23 kutoka ferry, kilomita 1 kutoka lami, karibu kabisa na makazi ya watu.
Mradi umeshapimwa na huduma zote za kijamii zinapatikana.
๐Mfano kiwanja cha namba 1 (Sqm 522) bei yake ni Tsh 20,000 ร 522 = Tsh 10,440,000/=
Mfumo wa malipo ni Cash au kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu.
NOTE: Ukimaliza malipo tunakusaidia kuprocess HATI MILIKI.
Call/Whatsapp
โ๏ธ0653988825
ONEROOF REAL ESTATE COMPANY LIMITED