Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


miliki-makazi
TUNAUZA VIWANJA KIGAMBONI NA VIKAWE
Mahali: kigamboni-Mwembemdogo & Vikawe-Kibaha
Bei : Kigamboni 12500 kwa sqm & Vikawe 13000
Ukubwa: Viwanja vinaanzia square meter 400 -1000
Uhalali:Viwanja vyote vimepimwa na ukinunua unapata hati miliki ndani ya muda mfupi
Ofisi:Tupo Kinondoni Biafra Delta House ghorofa ya tatu
MIRADI MINGINE:Nyumba kigamboni mwasonga,Viwanja-kigamboni,Mwasonga,ngoma mapinduzi Pia Tunakata bima za life insurance ,vyombo vya moto,nyumba na Biashara
Karibu tuhudumie na tunakupeleka site siku yeyote katika week.
miliki-makazi mpango mzima