Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
HII NI OFA KAMBAMBE KWA AJILI YAKO. Kumbuka Kwetu bei ni Mserereko, Kuanzia Milion 3.5 unamiliki Kiwanja KIGAMBONI MBUTU KICHANGANI. Unasubiri nini? Mradi wetu ni mzuri sana na Mandhari ya kuvutia..
Mradi upo karibu na bahari, ni mita 900 tu kufika baharini, pia ni Karibu na Hotel kubwa ya kisasa ya AYA SOPHIA VILLA.
Eneo lote limezungwa na mji mzuri, na huduma zote za kijamii zinapatikana kama Umeme, Maji, Hospital, Shule, Soko n.k Eneo ni tambarare, Barabara zote zimechongwa vizuri na zinapitika kipindi chote.
Kutokea Ferry Mpaka Kwenye mradi ni Km 18 tu, na kutokea Barabara kubwa ya Ferry -Kigamboni mpaka Mbutu Kichangani ni Km 3. Usafiri unapatikana muda wote.
Ukubwa wa Viwanja, Unaanzia Sqm 200, Sqm 300, Sqm 400 , Sqm 500 na Kuendelea. Ukubwa wowote unaotaka utapata ni wewe na bajeti yako tu. Kwa maelezo zaidi tupigie/Whatsaap 0711677199/0744847199.