Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Viwanja vyetu vipo kigamboni - Kimbiji
✅mita 800 kutoka barabara kuu
✅Viwanja vimepimwa na kusajiliwa na wizara vina plots namba
✅Huduma zote za kijamii zinapatikana
✅30km kutoka Kigamboni Ferry
✅anza na asilimia 30% kwa bei ya ofa wateja wangu na 70% unamalizia ndani ya miezi 6
Sqm 1 = Tsh 15,000/= ✅
Anza leo na Tsh 2,250,000/= (30%) malizia na Tsh 5,250,000/= (70%) kwa kiwanja cha 500 sqm Umiliki kiwanja chako sasa maana
✅Hati kwetu ni lazima 🤝
Wasiliana nasi kupitia 0752539779/0621900738
Usikubali kupitwa na ofa Hii 🤝