Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


📍KIGAMBONI KIMBIJI( mtaa wa POTEA)
Sifa za huu Mradi
📍Mradi upo umbali wa 38km kutoka Ferry
📍4km kutoka Main road ya Kimbiji
📍5km kutoka Baharini
🍀Viwanja vyote vimepimwa kwa matumizi ya makazi na makazi biashara
🌸Vimebaki viwanja 6 tu vya Sqm 704 kila kimoja
Utaratibu wa malipo
💎Cash : 4,928,000
💎Installment ya mieizi 6: Kianzio ni Milioni moja tu, baada ya hapo utalipa utakavyo ila umalize ndani ya miezi 6
💎Installment ya miezi 12: Kianzio ni laki nne na kumi (410,000) halafu utalipa 410,000 kila mwezi kwa miezi 12
☎️0659540265 / 0718354943
📌Site visit ni kila jumamosi
📍Office zetu zipo jengo la IPS, Posta gorofa ya 5