Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


🔥🔥NEW PROJECT.…....MOJA YA SITE YETU IPO NA HUDUMA ZOTE👉👉 VIWANJA KIGAMBONI- KIBUGUMO (BLOCK ZAKE ZA PLOT KUBWA HAZINA KUBANANA)
Plot zipo KIGAMBONI- KIBUGUMO
📍Site Ni Flat Na Tayari Ina Majirani
📍Km 1Na Nusu Kutoka Barbara Kubwa
VIWANJA VIPO UKUBWA TOFAUTI TOFAUTI
MALIPO AWAMU 2 TU
🙌Umeme upo
🙌Maji yapo
🙌Shule zipo
🙌Nyumba za ibada zipo
🙌 Hospital
Note KUONA RAMANINI INBOX 📥
Contact;
Call/WhatsApp 0687-348769