Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Viwanja Viwanja
Ni kigamboni kimbiji - Ngobanya
๐ธMita 300 kutoka barabara kuu
๐ธHuduma zote za kijamii zipo
๐ธViwanja vimepimwa na kusajiliwa na wizara
๐ธkilomita 25 kutoka kigamboni Ferry
๐ธsqm 1 = Tsh 15,000/=
Malipo
Utalipa kidogo kidogo kwa muda wa miezi 6
Utaanza na 30% na utamalizia kiasi kinachobaki baada ya miezi 6 Hii ofa sio ya kukosa jamii.
Mfano kwa kiwanja cha 500sqm
Utaanza na Tsh 2,250,000/= na utamalizia Tsh 5,250,000/= baada ya miezi 6 wahi sasa.
Tupigie 0748944830