Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
HAYA HAYA❗ UNASUBIRI NINI KUMILIKI KIWANJA 🤷🏽♂️ MILIKI KIWANJA NA MR VIWANJA KIGAMBONI KWA BEI NAFUU!
MILIKI KIWANJA KWA TSH MIL 1.8 OGOPA KUTAPELIWA FIKA OFISINI KWETU KIGAMBONI/KIBADA!
LEO NAWALETEA MRADI WA VIWANJA WA MIKWAMBE (CHEKECHEA), MRADI WETU HUU NI MPYA NA UMENYOOKA NI KM 3 KUTOKA MBAGALA ZAKHIEM, NI MITA 300 KUTOKA BARABARA KUBWA YA KWENDA MBAGALA MPAKA SITE NA NI KM 15 KUTOKEA KIGAMBONI(FERRY) MRADI HUU UMETIMIA KAMA IFUATAVYO!
- VIWANJA VINA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII
• UMEME
• MAJI
• SHULE
• HOSPITAL
• MASOKO
• NYUMBA ZA IBADA
- PIA TUNAPOKEA PESA KWA AWAMU, UNAACHAJE KUMILIKI KIWANJA CHAKO SASA?
- MIRADI YETU MINGINE IPO ⬇️
• MWASONGA
• VIANZI
• VIKINDU
• KIBUGUMO
• MBANDE
• MIKWAMBE
• CHANIKA
• KIBAHA
KARIBU SANA TUKUHUDUMIE NA MR VIWANJA KIGAMBONI ♂️
• #kigamboni #daressalaam #dalali #tanzania #miliki #mbagala #mbezibeach #gongolamboto
+255 657 864 473/ +255 786 198 949