Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


๐ฅ๐ฅ๐ฅ OFA YETU BADO INAENDELEA.
๐Viwanja vinapatikana KIGAMBONI DEGE KICHANGANI, Kwa Bei ya Milion 3.5 na Kuendelea. Viwanja viko Upande wa BAHARI, Mita 900 kufika baharini. Km 18 kutoka Ferry, Km 17 kupitia Darajani.
๐Ni pazuriiiipazurii, kumezungukwa na mji tayari. Upepo Kama wote, Huduma zote za kijamii zipo, Umeme upo, maji, Shule (Serikali & private) Vituo vya Afya, Nyumba za Ibada (Misikiti & Makanisa) Kumbi za starehe (Wazee wa Bia tamu๐ฅ๐บ๐) Vifaa vya ujenzi hapo hapo maana ni Center.
โ๏ธSqm 1 Tunauza 17500 !! Ukubwa unaanzia Sqm 208 kwa bei ya Milion 3.5, Vingine ni Sqm 400, 500, 800 mpaka 2000. Ukichukua zaidi ya Sqm 800 utapata punguzo la bei. Usafiri wa kutoka Ferry upo muda wote, Tsh 700 mpaka Dege. Hapo Dege kuna usafiri wa Bajaji ๐บ mpaka kwenye mradi wetu kabisa.
๐คNi sisi pekee, tupo tayari kuhakikisha una tabasamu, ni wakati wako sasa wa kufanya maamuzi kamili. Furaha ya familia yako itakamilika kwa makazi yaliyo salama na sahihi katika ujenzi wako. Wote mnakaribishwa.
๐0711677199/0744847199 Kwa Kutufikia. Omba ramani, Chagua Kiwanja Chako, tembelea mradi wetu, tupo kila siku, kuanzia Saa 3 asubuh mpaka 11 Jioni. Hakuna gharama yoyote ya kuonyeshwa mradi. Wahi mapema viwanja Vimebaki vichache..