Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
BANGO LINAONGEA!!
Mwenye macho haambiwi tazama. Hii ni DAR ES SALAAM Wilaya ya Kigamboni Kata ya KIMBIJI mtaa wa kwa MORISI. 0711677199/0744847199.
Bei ni Milion 1.3 (Milion Moja na laki tatu) Unakosaje Sasa kwa bei hii maana huwezi pata popote pale. Viwanja vipo mita 500 toka barabara kuu itokayo Mji Mwema kwenda Buyuni. Na Km 1.5 kwenda Baharini🌊. Km 35 tokea Kigamboni FERRY.
👉🏻Nguzo za Umeme zimezunguka mradi wote, Maji yapo (DASAWA) Majirani zako wapo tayari wanakusubiri, Hospital, Shule zote zipo, kuna vitu vingiii sikumaliziii uje na wewe ujionee🤗
✍️Kuna Viwanja vya Makazi na biashara na Ukubwa wa Kila kiwanja ni Futi 50 X 40 kwa Milion 1.3. Unaweza kuunga Viwanja viwili, vinne, sita na kuendelea. Viwanja ni tambarale na havikai maji.
Ukipanda gari Toka Ferry, ukishuka unaweza tembea au Pikipiki 1000. Wakati wewe Bado unajivuta vuta kuja kuchukua kiwanja chako, utakuna na neno la SOLD OUT 🤪. Jamani simu ziite 📞 0711677199 au 0744847199.