Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


HUKU KUMENOGA ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
ANZA NA LAKI MBILI TU KIGAMBONI PEMBAMNAZI
โ
Mradi huu unapatikana barabara ya kuelekea Buyuni
โ
Unapatikana kilomita 30 kutoka Feri na kilomita 1.5 tu kutoka barabara kuu.
โ
Mradi huu upo karibu na shule Msingi na shule ya bweni ya Pembamnazi
โ
Mradi huu uko tambalale na huduma zote za kijamii zimefika mpaka
kwenye mradi.
โ
Mradi huu unauzwa kwa bei ya 12,000tu kwa sqm.
โ
Malipo ya mradi huu yanafanyika ndani ya miaka miwili
โฆ๏ธWASILIANA NASI KUPITIA 0747607777
KARIBUNI SANA.