Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


ANZA NA LAKI MBILI TU KIGAMBONI PEMBAMNAZI
✅Mradi huu unapatikana barabara ya kuelekea Buyuni
✅Unapatikana kilomita 30 kutoka Feri na kilomita 1.5 tu kutoka barabara kuu.
✅Mradi huu upo karibu na shule Msingi na shule ya bweni ya Pembamnazi
✅Mradi huu uko tambalale na huduma zote za kijamii zimefika mpaka
kwenye mradi.
✅Mradi huu unauzwa kwa bei ya 12,000tu kwa sqm.
✅Malipo ya mradi huu yanafanyika ndani ya miaka miwili
♦️WASILIANA NASI KUPITIA 0747607777
KARIBUNI SANA.