Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Kipo Kiwanja Kimoja tu kwenye Mradi huu, ni Kiwanja kizuri mno. Kimezungukwa na Huduma zote za kijamii. Pamejenga sana.
Kiwanja kinapatikana Kigamboni Mwembe Mdogo Kona ya Chuo. Bei Milion 7 tu. Ukubwa ni Sqm 400 kasoro. Kwa maelezo zaidi nipigie 0711677199.