Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


MRADI WA VIWANJA KIGAMBONI DEGE-ECO VILLAGE
▫️Tunapakana na maghorofa ya NSSF-ECO village
▫️Bei zetu kwa viwanja vya Makazi ni Tsh 22,000 kwa square meter (cash) kwa installment Tsh 24,000/= SQM
▫️Na kwa viwanja vya biashara ni Tsh 26,000/=kwa square meter (cash) kwa installments Tsh 28,000/= SQM
▫️Mteja anaweza kulipa kwa awamu hadi miezi sita
▫️Ukubwa wa kiwanja ni kuanzia 645SQM na kuendelea
▫️Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana
▫️Viwanja vyetu vyote vimepimwa na mteja atapata hati ya wizara bure baada ya malipo
▫️kwa mawasiliano:
Call/Whatsapp :0626783900 or 0768579000
Mwenge,Bamaga
Dora Tower, 4th floor
Subscribe perfectpropertyTv on YouTube