Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Updated Map🔥🔥 Vimebaki Vichache 🦋☘️🔥
Viwanja vipo kigamboni - Dege
📌kilomita 1 tu kutoka barabara kuu
📌kilomita 25 kutoka Kigamboni Ferry
📌Viwanja vimepimwa
📌Huduma zote za kijamii zipo
📌Majirani wapo wa kutosha
✅Hati kwetu ni lazima wahi sasa ujichagulie kiwanja chako
✅Maliza malipo Hatua za hati zinafata
Sqm 1 = Tsh 15,000/=
lakini sasa habari njema ni kwamba ukinunua kiwanja hapa Dege utaanza na malipo ya 30% na kiasi kinachobaki unamalizia baada ya miezi 6 hii sio ya kukosa njoo umiliki kiwanja chako Dege uishi kishua 😁😁
Ofisi zetu zipo Kigamboni - Gezaulole
Tupigie 0752539779 👍