Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Rhoda- viwanja UNAPATA WAPI NGUVU YA KUNUNUA VIWANJA MAPORINI KWA 5M WAKATI KIGAMBONI NI 1.8M,
Karibuni Viwanja VILIVYOPIMWA.
(SURVEYED PLOTS)
📍location :👉 #KIGAMBONI , #MWASONGA mbele ya DAR ES SAALAM ZOO , #0687-348769
_________________________________________________
👉 BEI YAKE NI 6,000/=Tsh kwa square meter (sqm) moja
👉SQM 300 (20 kwa 15 ) = 1.8M
👉 ,SQM 400 (20 kwa 20) = (2.4M)
👉SQM 500 ( 25 kwa 20 ) = 3M
👉SQM 800 ( 40 kwa 20 ) = 4.8M
👉SQM 1000 ( 40 kwa 25) = 6M😋
Unaweza kuchukua hata SQM 500, 600, 800 ,1000 ,20000 n.k
____________________________________
■unaweza kulipia nusu kwanza (installment)
■Inayobaki unalipa kidogo kidogo kadri ya uwezo wako.
■Ukichukua eneo kubwa na ukalipa Cash utapata discount
■Umbali ni Km 24 kutoka Ferry Kupitia Kibada na km 25 kutoka darajani (nyerere bridge)
■UMEME Upo Nguzo zimepita mbele ya Mradi
■Eneo lipo karibu na huduma za kijamiii mfano Shule , hospital, bar(bia tamu)🤗 n.k
__________________
⚠️KUTOKA FERRY HADI MWASONGA KWA DALA DALA NI SH. 800 Tu na lami ikiisha dala dala itakuwa 400 😋😋
‼️Kwenda Kuona Viwanja ni KILA SIKU unapelekwa na kurudishwa
👉》MABORESHO YA GHARAMA ZA VIWANJA YAMELENGA HASWA HALI HALISI YA UCHUMI WA MTANZANIA ANAYEISH CHINI YA DOLLAR MOJA HIVYO KAMPUNI IMEJIDHATITI KUHAKIKISHA %(ASILMIA) KUBWA YA WATANZIA WANAMILIK HADHINA HII YA MILELE (ARDHI)📍
■Eneo hili ni Mali ya KAMPUNI hivyo hakuna Gharama ya Udalali ✍️🙏
....,......# 0687-348769......