Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Karibu kwenye mradi wa Daz Estate, Kigamboni! ๐กโจ Tumejipanga kukuletea fursa za uwekezaji bora. Mradi huu ni mkubwa na una jumla ya viwanja 366, pamoja na miundombinu mizuri ya barabara na umeme wa Tanesco tayari umefika. Gharama ya viwanja hivi ni Tzs 25,000 kwa mita mraba. Fanya maamuzi sahihi ya uwekezaji na umiliki sasa! ๐ผ๐ก #DazEstate #Kigamboni #Viwanja #ViwanjaBeiNafuu #WekezaViwanja #PropertyInternational