Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
🚨 MRADI WA VIWANJA VILIVYOPIMWA KIGAMBONI BUYUNI { CHA UREMBO}
⏭️ SIFA ZA MRADI
✍🏽 Mradi Upo karibu na Pemba mnazi secondary school
✍🏽 Mradi Upo Km 1.8 Kutoka Barabara Kuu
✍🏽 Mradi Upo Km 1.8 Kutoka Beach { BUYUNI CENTRE}
⏭️ BEI ZA MRADI
💰 CASH TSH 10,000/=
Mfano SQM 400 x 10,000 = 4,000,000
Ambayo unaweza kuilipa mpaka miezi mitatu kila mwezi tsh 1,333,334/=
💰INSTALLMENT TSH 12,000/=
Mfano SQM 400 x 12,000 = 4,800,000/=
Ambayo unaweza kuilipa mpaka miezi 20 Kila Mwezi Tsh 240,000/=
Siku zetu za kutembelea site ni
- Jumatano
- Jumamosi
- Jumapili
Makutano ni Ofisini Kwetu, Makumbusho Mwanga Tower Ghorofa ya 12.