Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BANGO LINAONGEA!!
Mwenye macho haambiwi tazama. Hii ni DAR ES SALAAM Wilaya ya Kigamboni Kata ya KIMBIJI mtaa wa kwa MORISI.

Bei ni Milion 1.3 (Milion Moja na laki tatu) Unakosaje Sasa kwa bei hii maana huwezi pata popote. Viwanja vipo mita 500 toka barabara kuu itokayo Mji Mwema kwenda Buyuni. Na Km 1.5 kwenda Baharini🌊. Km 35 tokea Kigamboni FERRY.

👉🏻Nguzo za Umeme zimezunguka mradi wote, Maji yapo (DASAWA) Majirani zako wapo tayari wanakusubiri wewe, Hospital, Shule zote zipo, kuna vitu vingiii sikumaliziii uje na wewe ujionee😅

✍️Kuna Viwanja vya Makazi na biashara na Ukubwa wa Kila kiwanja ni Futi 50 X 40 kwa Milion 1.3. Unaweza kuunga Viwanja viwili, vinne, sita na kuendelea. Viwanja ni tambarale, vizuri saaana.

Ukipanda gari Toka Ferry, ukishuka unaweza tembea au Pikipiki 1000. Jamani simu ziite
📞 0711677199 au 0744847199.

Pesambili Properties Limited
pesambili_properties_ltd
Pesambili Properties Limited

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 25,000

Viwanja vinauzwa kigamboniMahali; Kigamboni#MWONGOZO*Umbali kutoka ferry ni km17, na kutoka mainroad...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI<> location kisota <> nyumba ina vyumba viwili kimoja master sebule di...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jik...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

MRADI MPYA WA VIWANJA VIWANJA VYETU VIMEPIMWA NA VINA HATI BEI INANZIA MILLION 4 KWA SQM 400YAAANI 2...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000

🔥🔥 MRADI WA VIWANJA – KIGAMBONI VUMILIA UKOONI (MWEMBEMDOGO) 🔥🔥📍 Viwanja vimepimwa rasmi na vin...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

KIWANJA CHA BEACH CHENYE HATI,SQM 448 TSHS.60 MILIONI,PUNA KIGAMBONI.Hapa ni wastani wa kilomita 50 ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

📍Kigamboni Geza Juu (Dsm)🏠Vyumba Viwili kimoja Master👉Inapangishwa/Apartment💰400,000/= kwa mwezi...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO KLM 1 kutoka rami Miundombinu yake Iko poa _Njoo tumvulug...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 10,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI KIBUGUMO __SQM 300__Bei ml 10__Maongezi kidogo __Location kigamboni kibug...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

Kwetu hati ni lazma OFA OFA OFA YA FUNGA MWAKA……KWA THS 4M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQ...

Sh. 5,000,000

Kwetu hati ni lazma OFA OFA OFA YA FUNGA MWAKA……KWA THS 5M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQ...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 5,000,000

Kwetu hati ni lazma OFA OFA OFA YA FUNGA MWAKA……KWA THS 5M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQ...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

NYUMBA ZINAPANGISHWAKigamaboni kisota 📍✅ Chumba master najiko ✅ Ndani ya fence ✅ Umeme & maji 15k✅ ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

📍Kigamboni Kibada Stend (Dsm)🏡Sebule/Chumba/Jiko & Choo👉Apartment Inapangishwa💰500,000/= kwa mwe...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

NYUMBA MPYA KISASA INAUZWA! 🔥📍 Mahali: Kigamboni Mjimwema 🏠 Vipengee: Vyumba 3 vya kulala, sebule...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 6,000,000

Kiwanja chakufunga Mwaka Kipo KIGAMBONI KIMBIJI Mita 300 kutoka main Umeme, Maji Vipo Site Mtaa waki...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 6,000,000

Kiwanja chakufunga Mwaka Kipo KIGAMBONI KIMBIJI Mita 300 kutoka main Umeme, Maji Vipo Site Mtaa waki...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisota @<> nyumba ina vyumba vitatu kimoja master sebule ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada (stand)<> nyumba ina chumba kimoja master sebule n...