Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BEI YA KIWANJA NI MILION NA LAKI TATU TU. (1,300,000/=) Unamiliki Kiwanja KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORISI. Simu ziite📞0711677199/0744847199

Kwanini ununue kiwanja kwenye mradi wetu wa KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORISI !! ✨ Hapa kuna sababu za kufanya hivyo:

1️⃣ Mradi upo Katikati ya mji kabisa, Majirani wapo wa kutosha na wamejenga nyumba za maana.

2️⃣ Mradi uko karibu na barabara kuu itokayo Mji Mwema Kwend Buyuni, ni mita 500, hivyo kunakupa urahisi wa kufika kwako bila usumbufu na gharama kubwa.

3️⃣ Miundombinu bora: Mradi una huduma zote muhimu kama maji na umeme. Ukiachana na makazi bora, pia huduma muhimu za kijamii kama shule na hospitali zipo.

4️⃣ Mandhari ya kipekee na ya kifahari: Upepo Mwanana Toka baharini maana ni Km 1.5 Kwenda Ufukweni.

5️⃣ Viwanja vimepimwa kwa Ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunga Viwanja kuanzia viwili, vinne, sita na kuendelea inategemea na bajeti Yako.

6️⃣ Umbali kutoka Ferry mpaka KIMBIJI kwa Moris ni Km 35. Unapanda gari Moja toka Ferry zinazokwenda Buyuni unashukia KIMBIJI kwa Moris. Wakati wewe unajivuta vuta kuja kuchukua kiwanja chako, utakuta watu washachukua maeneo yao. Fanya maamuzi sahihi na umiliki kiwanja cha ndoto zako! Nipigie 0711677199/0744847199.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 8,532,000

📍Kiwanja kinapatikana Kigamboni Buyuni- Ukubwa wa Kiwanja sqm 711- ⁠Bei 8,532,000/=- ⁠Malipo ya mie...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba Ina vyumba viwili kimoja master sebule...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 230,000,000

NYUMBA ZINAUZWA KIGAMBONI <> location kibada <> nyumba Ina vyumba vitatu vyote master sebule dining ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI<> location kisota <> nyumba Ina chumba kimoja master na jiko full ac ...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000,000

HOUSE FOR SALE 🔹nyumba kubwa ya vyumba vinne vya kulala🔹nyumba ya vyumba viwili vya kulala🔹nyumba...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000,000

NYUMBA ZINAUZWA KIGAMBONI <> location kisota <> nyumba ziko tatu Kwenye fensi moja na moja kati ya h...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 5,200,000

CHIMBO LA BEI CHEEKaribuni Viwanja VILIVYOPIMWA. (SURVEYED PLOTS)📍location :👉 #KIGAMBONI , #MWASON...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location geza ulole <> nyumba ina vyumba vitatu kimoja Master sebu...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 28,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI GEZAULOLEBEI;MILION 28UKUBWA;SQM 800CALL 0742121038

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

CHIMBO LA BEI CHEEKaribuni Viwanja VILIVYOPIMWA. (SURVEYED PLOTS)📍location :👉 #KIGAMBONI , #MWASON...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

MILIKI ARDHI LEO NA KAMPUNI PENDWA PERFECT PROPERTY LTD.OFA ZETU BADO ZINAENDELEAMiradi yetu ya vi...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000,000

Eneo Linauzwa Lipo; KIGAMBONI KIMBIJIUkubwa Hekari 17Documents safi Bei 20M kwa hekari moja Call; 07...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 18,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI GEZAULOLE MWONGOZOBEI;MILION 18UKUBWA;SQM 400CALL 0742121038

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI GEZAULOLE BAMBA BEACHBEI;MILION 35UKUBWA;SQM 800CALL 0742121038

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba Ina chumba kimoja sebule na chooo ✅nyu...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 18,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI GEZAULOLE MWONGOZOBEI:MILION 18UKUBWA;SQM 400CALL 0742121038

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI MJI MWEMA UNGINDONIBEI:MILION 25UKUBWA;SQM 400KUTOKA FERRY KM 9CALL 07421...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule n...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jik...