Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Hellow wateja wetu karibuni katika viwanja vyetu vipya vilivyopo KIGAMBONI MWASONGA - Mkamba Street.
Viwanja vipo Kilomita 4 kutoka Barabara kuu itokayo Ferry
Bei ni Tsh 8000/= Tu kwa kila Square meter (mita mraba)
Mfumo wa malipo;
Anza na Malipo ya Tsh: 1,000,000/= kisha kiasi kinacho baki lipia kidogo kidogo kwa MIEZI 12 (MWAKA MZIMA)
NB: Viwnja vyote vimepimwa kikamilifu hivyo Hati uhakika
📍Ofisi zetu zipo KIGAMBONI MJI MWEMA (Skansika)
☎️📱🤙 Piga : 0767358229
#viwanja #viwanjakigamboni #kigamboni #viwanjadar #tiktok #tanzania #daressalaam #ardhi #digital #promo #sponsered #marathon #investment #realestate